Yaani watu wamefura kwa chadema kutohudhuria. Na wanaolalamika na kutukana ni wale wale wasiokipenda Chama hiki kisiki cha mpingo. Kwani kulikuwa na agenda gani??Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.
Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.
Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??
Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??
Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??
Mbona kelele nyingi?
Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
Ugaidi wa Mbowe Vs Madai ya katiba Mpya.Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.
Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.
Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??
Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??
Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??
Mbona kelele nyingi?
Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.
Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.
Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??
Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??
Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??
Mbona kelele nyingi?
Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
Nashangaa Mbowe kutohudhuria kumefunika kila kitu.Msamaha wa Freeman Mbowe ndio umefunika ule mkutano!
Ndio zinaanza anza tunapalilia mahindiMkuu hapo dumila mvua zinanyesha? Karibu dakawa
... Mbowe asemehewe kwa kosa gani alilotenda? Hakuna kitu kama hicho.Msamaha wa Freeman Mbowe ndio umefunika ule mkutano!
Chifu Hangaya bwana. Kwanza kikao cha leo hakimhusu... Mbowe asemehewe kwa kosa gani alilotenda? Hakuna kitu kama hicho.
Tuna rais asiyeweza kujiamulia yeye mwenyewe kwa maslahibya taifa.Huyu bi mdashi ni mweupe sana
Wahuni waliona kama akifanya mkutano na wapinzani watamcontrol na anaweza kufanya maamuzi ambayo ni mistake
Ndiyo maana walisitisha kukutana na wapinzani
Hanaga maamuzi ambayo yanatoka ndani yake moja kwa moja ndiyo maana hata hotuba ni fupi tu
Tumuulize yohana mbatizajiNashangaa Mbowe kutohudhuria kumefunika kila kitu.
Hivi chadema ni akina nani nchi hii?
Mhuni tu huyo wa lumumba๐ ๐Tumuulize yohana mbatizaji
Inamaana na yohana mbatizaji ni mzee buku saba ๐๐๐Mhuni tu huyo wa lumumba๐ ๐
Wewe ulitegemea lipumba azungumze kitu gani?Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.
Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.
Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??
Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??
Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??
Mbona kelele nyingi?
Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
Hivi na Yeye alikuwepo?๐ ๐Wewe ulitegemea lipumba azungumze kitu gani?
Waliochukia na kufura kisa cdm haijashiriki hicho kikao ni mazuzu tu wa lumumba.Yaani watu wamefura kwa chadema kutohudhuria. Na wanaolalamika na kutukana ni wale wale wasiokipenda Chama hiki kisiki cha mpingo. Kwani kulikuwa na agenda gani??
Hujui kuwa siku hizi kudai haki ya katiba mpya ni ugaidi?Ugaidi wa Mbowe Vs Madai ya katiba Mpya.
Sijui kinachowauma ni kitu ganiWaliochukia na kufura kisa cdm haijashiriki hicho kikao ni mazuzu tu wa lumumba.
Cdm ni chama teule kutoka kwa Mungu ili kiwakomboe watanzania.Nashangaa Mbowe kutohudhuria kumefunika kila kitu.
Hivi chadema ni akina nani nchi hii?