Kumbe Chakula cha mwisho ni kitamu

Ngoke

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2020
Posts
285
Reaction score
504
Mke wangu amesafiri kwenda mbali mkoani, nipo na watoto peke yangu, sisi familia yetu hatuna wasaidizi na kwa kuwa maisha tulishaandaa yaaani tulishawekeza mila mwezi pesa inaingia ya matumizi

Nikawa napikia watoto mwenyewe na upishi wa jana ijumaa, yaani akaja shemeji akanisaidia kupika mchana na akaacha kuwa usiku nitapasha tu. Basi usiku nikapasha na kuwapakulia watoto na mimi nikabakiza chakula changu kwenye sufuria yaani Mlenda, Nyama na Ugali. Basi nikawa nakula humo toka kwenye sufuria.

Nilichogundua ndio maana wake zetu ni wanene. Ni tamu balaa haina mfano.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Natamani ingekuwa ndiyo ubwabwa maharage wa nazi, angekuwa anakaa jikoni kila uchwao...!!

Mac Alpho nakuomba samahani..!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€asingetamani mkewe arudi
 
Najisikia nimeongeza uzito, kumbe mwanamke akisafiri yaani hata uzito naona unaongezeka
 
Chizi kweli wewe, kwahiyo umegundua kula chakula kutoka kwenye sufuria lazima unenepe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…