Ivi inakuaje kozi 4 eligible alafu kozi 4 nyingine check in progress? Ili tatizo ni langu tu au kunawengine na nitalisuluishaje?
hongera,sana ila je "not eligible" katika kozi moja kati ya nane inaweza kua moja ya kigezo cha kukosa udahili?
Jamani Selection zikitoka tusikimbiane Jf
kwa nin mkimbiane bana?
Wengi tulikua tukiomba ushauri pale tulipo kwama katika michakato ya uombaji wa vyuo na mikopo pia, kwahiyo pale tutakapo pata admission hatuna budi kuleta shukrani kwa msaada tulio pata Hapa JF. binafsi nashukuru sana kwa mchango wa namna moja ama nyingine mpaka nilipo fika hapa. THANKS GUYS.
LONG LIVE JF
haya bana,umeomba wap na wap?