Kumbe Chris Brown anavuta bangi.

Kumbe Chris Brown anavuta bangi.

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,746
chris brown.jpgAme-tweet hii picha akiwa na misokoto mitatu kwa mpigo.
 
Upi ubaya wa Bangi. Nimetumia, huu mwaka wa 32 sijapata madhara yoyote.
 
Upi ubaya wa Bangi. Nimetumia, huu mwaka wa 32 sijapata madhara yoyote.
Mara nyingi waliobanguka hawajijui,na hata ukiwaambia wanachukia,labda ni mmoja wao.
 
Wewe nani kakwambia Bangi Ina madhara.Nenda Kwenye mahospital ya Israel wanavyoshawishi watu watumie kwa kuboresha afya yao
 
Ningeshangaa sana kama Chris Brown havuti bangi
 
Kamuulize huyu bwana kama bangi ina madhara!.

415864-SnoopDoggphotoreuters-1343789925-649-640x480.jpg

Snoop Dogg crossed over to Rastafarian church, being christened as Snoop Lion. PHOTO: REUTERS
 
Kamuulize huyu bwana kama bangi ina madhara!.

415864-SnoopDoggphotoreuters-1343789925-649-640x480.jpg

Snoop Dogg crossed over to Rastafarian church, being christened as Snoop Lion. PHOTO: REUTERS

You think the dude is normal?
Mifano mingine bwana.
 
Back
Top Bottom