shalom wana jamvi wenzangu.
leo nimebahatika kumsikia live mmoja kati ya watoto wa hayati mobutu sese seko. kweli inaonyesha watawala wa kiafrika zamani walikuwa mungu mtu.
katika mahubiri yake kanisani kwetu hapa arusha mchungaaji Prince Mobutu ameshuhudia jinsi alivyoponda maisha kabla ya kukutana na mwanaume wa nazareti na kuokoa maisha yake, kumbe katika nyumba za viongozi wetu kuna majopo ya wagaga wa mataifa mbalimbali kwa ajili ya kutoa ulinzi wa kishetani katika nyumba zao.
Amesema hata nyumbani kwao walikuwepo wagaga kutoka zaire,tanzania,china,nigeria,nasikia pia dawa za wagaga wa tanzani zina nguvu sana.natamani watoto wa baba wa taifa, mzee mwinyi, mkapa, na kikwete wafuate nyayo za mchungaji prinnce mwenye kanisa lake nchini ufaransa za kukataa mali za baba yake na kuamua kuanza maisha upya, natamani upate nafasi ya kumsikiliza live wewe mwenyewe, aliokolewa toka madawa ya kulevya na ngono zisizo na mipaka,pia alikuwa mtumishi wa shetani.
Mwisho amesema baba yake kuna kipindi alipiga marufuku makanisa yote ya kilokole jambo lilopelekea mungu ampige kwa miaka miwili kukosa usingizi,wagaga wote walishindwa kumpatia tiba, mpaka pale mchungaji wake na prince kwenda kumuombea sababu prince aliokolewa kabla ya baba yake kuanza kuugua.
Prince amesema anaamini baba yake alikufa akiwa mlokole sababu ya maombi aliyopewa na mchungaji wake. na baada ya kupona mobutu sese seko alitoa kibali kwa makanisa ya kilokole tena nchi nzima.