Kumbe Da Sophy alikosea tarehe

Mama Big

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
488
Reaction score
7
Jamani nimepatata tetesi kutoka vyanzo vya habari kuwa etiiii Da Sophy alikosea kuhesabu tarehe wiki mbili zijazo ndio anaweza kujifungua. Madaktari wamempima na kuona kuwa hana tatizo tumuombeeni ajifungue salama...
 
:doh::doh:
 
Hivi kipindi kile kwenye ile ishu yetu haukukosea tarehe?
 
duh...mpe pole sana...inaonekana ana hamu ya kiumbe chake....kitakuja tu asijali
 
Jamani nimepatata tetesi kutoka vyanzo vya habari kuwa etiiii Da Sophy alikosea kuhesabu tarehe wiki mbili zijazo ndio anaweza kujifungua. Madaktari wamempima na kuona kuwa hana tatizo tumuombeeni ajifungue salama...

Asante Mama Big kumbe mnanipenda jamani. Nilifanyiwa operesheni salama na kujaliwa mtoto wa kiume anafanana na babake utafikiri aligongesha mhuri! Tafauti kidogo tu mwanagu ana kidimpo kwenye kidevu ambacho babake hana lakini anasema ni cha babu yake alikuwaga nacho.

Asanteni sana jamani na mie mwenzio nina raha nalea kama nyie.
 
Hongera sana, kama kafanana na baba yake hakuna ugomvi.
 
Hongera zako DS.

Jamani nimepatata tetesi kutoka vyanzo vya habari kuwa etiiii Da Sophy alikosea kuhesabu tarehe wiki mbili zijazo ndio anaweza kujifungua. Madaktari wamempima na kuona kuwa hana tatizo tumuombeeni ajifungue salama...

Heeee kumbe mama mtarajiwa!!!!!!!!

Hongera Da Sophy tupo pamoja
 
Hongera sana Da Sophy naweza kuagiza zawadi kwa mtoto?
 
duh...mpe pole sana...inaonekana ana hamu ya kiumbe chake....kitakuja tu asijali

we preta hiyo nanihii
yako kila nikisubiri nione imevuliwa wapi, mpaka lini sasa?
 
Hongera Da Sophy. Vp tunaweza kuku-PM zawadi za mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…