Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Habari za kazi wana JF,
Nadhani na nyie ni mashahidi jinsi tulivyopumzika/kupumua juu ya mapambio na kusifusifu na kuabudu kwenye kero ya hali ya juu kutoka kwa baadhi ya viongozi wasio na uweledi na WANAFIKI wakubwa nchini kwetu.
Hata media nazo zimesimama kwa muda kurusha rusha matangazo ya kusifia, kuabudu na kutukera sisi wa-Tanzania tunaomini kuwa ni MUNGU pekee mwenye kupewa heshima hyo.
lakini hata kusifia huko kunaambatana na “mafanikio hewa” ambayo yanaiimbwa kila kukicha ili kuficha uovu na ubadhilifu ambao unafanywa chinichini kwenye nchi ya Wa-Danganyika
Lakini MAAJABU zaidi ni jinsi UVSISIEM,Walivyo-ufyata tena mkia umefyatwa kiasi kwamba umepita chini ya tumbo na kuiingia mdomoni hali iliyosababisha kushindwa kuongea chchote.(Inachekesha)
Juzi kuna ripoti ya takwimu ya ufisadi kwenye nchi za Afrika mwkaa 2021-2022
Unaambiwa baada ya Uganda inayoongoza kwenye ufisadi nchi ya pili ni ya WADANGANYIKA
AIBU, AIBU, AIBU
TUMEWACHOKA NA UJINGA WA KUSIFIASIFIA VITU VISIVYO NA TIJA, NJOONI NA HOJA ZA MAENDELEO TU.
Kiongozi anapewa dakika 10 za kuongea anatumia dakika 8 kusifu,kuabudu na kuimba mapambio kwa mamlaka za teuzi hasa yule naniiii wa juu.
Mwalimu wa walimu
Nawasilisha