Wanajamvi, Wananchi sehemu mbalimabli wamegundua dawa ya uchakachuaji!-KUCHOMA MOTO MASANDUKU YA KURA zilizokwisha-hesabiwa ili kuzuia kurudiwa kuhesabu kura na hatimaye kuchakachua!
Kule Mwanza wameshafanya hivyo na sasa kule Maswa kwa habari zaidi soma hapa chini...