Kumbe DC Makonde Ndio M'baya wa Katiba Mpya

Kumbe DC Makonde Ndio M'baya wa Katiba Mpya

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
157
Reaction score
56
Sasa imekuaje Bwana Mkubwa akampa Ukuu wa Wilaya kumbe yeye ndie alieanzisha vurugu siku ya mdaharo
Kweli kuna haja ya CCM kuendelea kutawala
 
Sasa imekuaje Bwana Mkubwa akampa Ukuu wa Wilaya kumbe yeye ndie alieanzisha vurugu siku ya mdaharo
Kweli kuna haja ya CCM kuendelea kutawala
Kijana hueleweki sijui umelewa au, yeye unamtuhumu vp kuhusika na vurugu za mdahalo? Je una ushahidi wa unachokisema? Katiba iko pale pale hata mkiijengea fitin bado itapita tuu
 
Back
Top Bottom