Mwamposa ndo takataka gani? Hivi you guys never learn eeh!Kama mwamposa anatoa huduma ya Mungu ambayo kwa sasa inajitangaza yenyewe lakini bado ana Tv inayompa promo 25/7 lakini bado analipia national TV nyingine afikie watu wengi zaidi. Ndio ushangae Diamond kupigia promo muziki ambao ni pure business
Mwamposa ndo takataka gani? Hivi you guys never learn eeh!
Mstari wa chini unaonesha kweli una-paqwa.Mwamposa ndo takataka gani? Hivi you guys never learn eeh!
Nikabofya wimbo wa Roma, kabla haujaja ukaja wa Diamond kama content iliyolipiwa ili niitazame..
Zamani nikajua haya malipo ya youtube na kadhalika ni sehemu ya chanzo cha mapato kwa wasanii kumbe ndio kwanza na wao wanalipia ili viewers waongezeke.
Au ni mchezo wa kutoana trending! Itoke Furahi iingie mapozi!
View attachment 2885958
Umetoa Elimu nzuri unafaa kuwa lectureKama mwamposa anatoa huduma ya Mungu ambayo kwa sasa inajitangaza yenyewe lakini bado ana Tv inayompa promo 25/7 lakini bado analipia national TV nyingine afikie watu wengi zaidi. Ndio ushangae Diamond kupigia promo muziki ambao ni pure business
Mwamba unaupiga mwingiNijifunze kutoka kwako au ?..
Sidhani kama nina chochote cha kujifunza kutoka kwa mtu anaeita binadamu mwingine "takataka".
ππππππHyo ni promotion sasa unafikir watu watajuaje kama ametoa wimbo au umefikir watu wanashinda kwene acc ya diamond
mbona wasanii wote n hivo ambao hawalipii ni masikini ndo hao kutwa kutumia watu link ya wimbo mpya eti uchek
ππ½Umetoa Elimu nzuri unafaa kuwa lecture
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mstari wa chini unaonesha kweli una-paqwa.
Papasi, zombie wa wezi, fake pastors, endeleeni kuwachangia.Mstari wa chini unaonesha kweli una-paqwa.