Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Kumbe ndugu yetu Naseeb is a mere ambassador a.k.a Balozi mzee Baba Joseph Kusaga Kausika Jionee video uamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimekupendraaa bureeee...[emoji8] [emoji8]Ila hii video ya hao ilirushwa zamani insta hata na Joe mwenyewe.. sema watu wabongo kufikiria nje ya boksi na kuelewa ni shida.. ingeambatana namaneno ya udaku au machafu.. mngeshayajua muda mrefu umepita.. mazuri ya kujifunza na kujiongeza wengi mitandaoni wanaingia kama vipofu.. inasikitisha
hivi boksi zima ni sh ngapiLini alitamka au kuandika ni mali yake?
Mbona inajulikana kuwa anacuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..
Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..
Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
Leo nimekupendraaa bureeee...[emoji8] [emoji8]
hivi boksi zima ni sh ngapi
Toba....[emoji45] [emoji45]Sikumbuki.
Toba....[emoji45] [emoji45]
Basi sawa
Sawa mkuu, ebu uje unijibie huku PM kama hauto jali..[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Eeeeeh rudi kusoma nimeongeza
Hapo namjibu mdau
Sawa mkuu, ebu uje unijibie huku PM kama hauto jali..[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Basi usimwambie Bashite, asije akanifanya nianguke kwa presha.... Maana sio kwa mahabat haya wallah...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ha ha haaaa
Sijui kutumia PM
Positive mentality... Like that... Sio watu wanakalia majungu tu ila chambichambi hawazisaki...Lini alitamka au kuandika ni mali yake?
Mbona inajulikana kuwa anacuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..
Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..
Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
Basi usimwambie Bashite, asije akanifanya nianguke kwa presha.... Maana sio kwa mahabat haya wallah...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Lini alitamka au kuandika ni mali yake?
Mbona inajulikana kuwa anacuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..
Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..
Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
afu ziitwe kusaga karanga afu ukifungua unakuta karanga nzima nzimaSasa zingeitwa "Kusaga karanga" nani angenunua?