Tetesi: Kumbe Dk.Slaa aliongea haya kuhusu uadilifu wa Rais Magufuli

Wasubiri wenyewe waje mkuu.
 
lakini mbona kaanza kujiamiani kuwa hajapokea pesa kutoka ccm.


swissme
 
Dr Slaa ndio nani wakuu?

hapo kuna DR SLAA KATIKATI. PROFESSOR LIPUMBA MWENYE JUICE NA MZEE WA DESA JINA KISUKUMA LAKINI NI MSINGIDA.wanapewa somo na form six DESA.



SWISSME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…