Kumbe Einstein alikataa ofa ya kuwa Rais!

Huyo jamaa kichwa chake kilikuwa tofauti.

Alivyokuwa na miaka 17 aliukana uraia wake wa Ujerumani akawa mtu asiye na uraia wa nchi yoyote kwa kuwa hakuamini katika habari nzima ya mtu kuwa raia wa nchi.

Alisema "Nationalism is an infantile disease.It is the measles of mankind".

Kila mara nikisikia watu wanabishana na kutaka kupigana kwa sababu za kijinga za uzalendo na utaifa nakumbuka nukuu hii.

Political views of Albert Einstein - Wikipedia
 
Duniani kila mmoja ana jukumu lake.
He excelled in scientifically and innovations that means he had no any idea about leadership and politics.

Pia, ni bora ufanye ukiwezacho kuliko kusukumiziwa huko halafu ukapasua ngoma kabla hata harusi haijaanza.
Mwisho wa siku maharusi wanafika uwanjani wanakuta wewe kwa ignorance yako umeisha pasua ngoma.
 
Einstein familia tu aliona mzigo akaiacha kisa ubize na relativity yake..Leo umpe urais
hahahaaa hiii Kali...duuuhhh kweli alikuwa amevurugwa ...
kumpa majukumu kama hayo nikutaka kichwa chake kivurugike zaidi
 
Hahaha daby mada zako mapenzi tyu ila mengine mweupe kabixa,kabila lako ni akina mahondaw na smart99,hongera kwa kujarb ila bado sana hamna jipya hapo
 
Jamaa alikuwa na akili sana ila namchukia kwa mchango wake kufanikisha urutubishaji Wa fat man na little boy. Roho yangu imeshindwa kukusamehe mzee Eistein
 
Bora angeuchukua huo uraisi labda angekuwa busy akapunguza ugumu wa ma fomula yake
 
unajua urais kwa israel ni cheo cha celebration tu, mwenye nguvu ni prime minister, Netanyau.
 
Ila mm naona kama rais wa Israel ni kama hana mamlaka kama aliyonayo waziri mkuu nahisi ndo maana jamaa alikataa huo urais.
 
Hahaha daby mada zako mapenzi tyu ila mengine mweupe kabixa,kabila lako ni akina mahondaw na smart99,hongera kwa kujarb ila bado sana hamna jipya hapo
Teh
Boss mimi siasa siijui aseeh kweli mi mweupe saana na nikutokana siipendi kabisa.

Ila ukiona mtu haandiki mambo fulani usifikiri ni mweupe hajaamua tu. Badilisha hiyo kabixa mzee iwe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…