Kumbe Fid Q ana watoto watatu wa mama tofauti??

Nayeye anajibebisha sura yenyewe ngumu vile. Hizi mingo za kusema wananipenda wenyewe zimepitwa. Piga kazi mtoto wa kiume kisha unalimbikiza mafao.
Acha wivu,kama hujawahi kupendwa kausha babu
 
Msio na watoto mnajulikana tu,,kwani kama nina watoto na ninawalea kuba tatizo gani
 
Hiv ni ufahar kwel tena na MTU anakuwa proud et nina watoto kila mmoja na mama ake. Hii dunia kwa kwel cjui tunaelekea wap?
Mi naona ni ufahari maana ni uanaume,ilimradi tu kama una kipato
 
Cjaona.. Kama una kipato si uoe mwanamke mmoja wa kulelea wanaume mpaka utawanyishe mbegu maana nin?? Dume la mbegu au??
 
Cjaona.. Kama una kipato si uoe mwanamke mmoja wa kulelea wanaume mpaka utawanyishe mbegu maana nin?? Dume la mbegu au??
Kwani kama nina kipato na ninawalea wanangu kuna tatizo gani? Watoto ni watoto tu haijalishi umezaa na wanakae tofauti au mmoja
 
Jamaa we noma aisee
 
kumbe uko hivo? eti ndo ulijali wenyewe!!! sawa baba jitahidi na kulea vzr,hao viumbe.we ni jembe kinoma.
 
Ndio vile viherehere vyao?
 
Umemsahau yule anayejiita King Kiba
 
Ana panda panda Mbegu zake Ovyo Ovyo tuu,Yule mtoto wa kizanzibar Salama alimkojoza tuu,bila mtoto !
 
na bado ongezee ongezee wafike hata timu ya mpira
 
Nakupa like za kutosha. Umetisha...
 
Kupanga watoto bila kutoa huduma zinazostahili sio ujiko. Imagine wazazi wako wangekuacha bila education ungekuwaje sasa hivi?
 
mwanaumeanayejizalia hovyo hatunzi watoto na anajitapa mshipa wa aibu umekatika & ni mariooo by nature hawapendi majukumu akikuoa utegemee kumlea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…