Kumbe gas ya kupikia 15kg ni 55,000/-? Misitu yetu bye bye!

Kumbe gas ya kupikia 15kg ni 55,000/-? Misitu yetu bye bye!

Leo nimepata mstuko gesi yangu nyumbani ilipoisha. Nikaenda dukani Oryx 15kg ni 55,000-. Tunakwenda wapi?
Eti tunaimbiwa siku zote tutunze misitu yetu! Misitu yetu my foot!
Waziri alikuja na mikwara akiwazuia wafanyabiashara kutopandisha Bei mpaka leo
Bado bei imebaki ile ile
 
Tulipe Kodi kwa maendeleo ya taifa letu,hata mabeberu misaada yanayotupatia inatokana na Kodi za Rai wao
 
Sijapata uelewa kwanini gas yetu nchini haitumiki, tunatumia gas Toka nje kwa matumizi ya kupikia.
Gas Toka nje control ya Bei ni ndogo kwa Serikali.
Gesi yenu ipi? Ile mliouza kwa hati ya dharura bungeni, usiku kwa usiku?
 
Ile nyingine ndogo inauzwa Kati ya 23000 au 24000. Bei ya zamani ilikuwa 21000.
 
Sijapata uelewa kwanini gas yetu nchini haitumiki, tunatumia gas Toka nje kwa matumizi ya kupikia.
Gas Toka nje control ya Bei ni ndogo kwa Serikali.
Gas iliuzwa au ili hongwa zamani tusie hatuna gas mkuu, pale 77 mwaka jana niliwauliza, mbona mlisema mtafunga mabomba tupikie gas tulipie kama luku, wakabaki wanacheka cheka tu, yule naye sjui walimlisha pumba!
 
Back
Top Bottom