man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,354
nimepitia majina ya selected candidates ya UDSM ni kweli GS imefanya yake mwanzoni nilikua nabisha humu humu jukwaani but leo nimeamini...hongera kwa ambao mmepata nafasi pale nadhani zile GPA tu za walochaguliwa zinajieleza.
yah ndo maana wenye A flat huwa wana cuttoff points ya 15.5
cjui MURA.....Hivi mwaka wetu kulikuwa na one ya tatu kweli, manake kuna dem nimeona ana A flat kwenye EGM amechaguliwa udsm au sio wa mwaka huu.
Hivi mwaka wetu kulikuwa na one ya tatu kweli, manake kuna dem nimeona ana A flat kwenye EGM amechaguliwa udsm au sio wa mwaka huu.