CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Ndo hivo iyo michezo ya utopolo tusha wajua tunawachora tu kesho tukawakande vizuri akili ziwakae sawaBwana weeee kumbe viti vinakuwa mambo flani tayari hadi ukiruka kiunzi cha ule mlango wa sehemu husika kombora linachapa kwa kocha siku ya mchezo na kabla unakuwa jitu la hovyohovyo
Basi ni jambo jema sana wekundu wa msimbazi kususia ile press na kesho msisahau kuruka yale mmadawa yalizyozindikwa na hao washirikina wa utopoloni
Mechi ya kesho ni muhimu wa kuwapasua ili wakawambane makofi vizuri pah pah pah
Tushawastukia kombora lilikwepwa lile yaani kesho ni muhimu sana wapasuke kuna watu nataka wachezee makofi ya kina Mzee magoma hadi maji waite mmaNdo hivo iyo michezo ya utopolo tusha wajua tunawachora tu kesho tukawakande vizuri akili ziwakae sawa
Popcorn kurukaruka ndio kuiva kwake, leo mtamstumu mpaka Barbra kuwa ni msaliti.Tushawastukia kombora lilikwepwa lile yaani kesho ni muhimu sana wapasuke kuna watu nataka wachezee makofi ya kina Mzee magoma hadi maji waite mma