asanteUmbea mtoto wa kiume kaa kimya
inawezekana yeye ndo kampangishia mwanamke wake icho chumba .na uyo mwingine kabebwa tu.Huyo mwanaume anayekwenda kulala kwa mwanamke mwenye chumba cha kuchangia hana adabu, haya wala akili...
umenzaje kucoment hapa wakati hayakuhusu.....umbea unakusumbuaUmbea mtoto wa kiume kaa kimya
yananihusu....kwa sababu huyo mwingine mara kadhaa huwa anakujaga room kujikalisha wakati wanafanya yao hadi mchana...ananiboahayakuhusu lkn
Dah... Watakuwa wako 9 kwenye ghetto yao[emoji13] [emoji13]Dirty game.......changamkia fursa Mkuu kwani wewe si unakaa peke yako??
Eti yaani anazubaa ...Yule aiyepigwa exile unashindwa nini kumbeba?
ha ha siumwambie asiwe anakuja room kwakoyananihusu....kwa sababu huyo mwingine mara kadhaa huwa anakujaga room kujikalisha wakati wanafanya yao hadi mchana...ananiboa
Wew ni mata.KOHuyo mwanaume anayekwenda kulala kwa mwanamke mwenye chumba cha kuchangia hana adabu, haya wala akili...
Hahaha mkuu labda Ana mizuka!!Umezubaa sana demu wa kitaa chenu mpaka anachukuliwa na mshkaji toka kitaa kingine upoupo tu
Unaweza kumtembelea lakini siyo kuangusha mbavu na kuvuruga mipango ya watu...siyo adabu... kama mnataka kulala mwanaume ingia mfukoni katafuteni sehemu...Wew ni mata.KO
ulitakaj kwamfano,so manzi yako akiishi na rafik yake no paying a visit huh?[emoji53]
inawezekana yeye ndo kampangishia mwanamke wake icho chumba .na uyo mwingine kabebwa tu.