Kumbe Halotel ni CCM?

Meseji zimetumwa kwa kila mtandao chief Me sio Halotel natumia Tigo, zantel,Airtel na voda kote huko nimetumiwa
 
Hii nchi kupata maendeleo ni ndoto kama tutanguliza vyama mbele.
Kuna ile hotuba ya Nyerere inayohusu Serikali itofautishe na shughuli za chama. Watu wasikilize. Itawasaidia sana maana wamejisahau sana
 
Basi Mimi huu mwaka umeishakuwa mgumu Bora uishe tu..

Yaani kumbe Kuna watu mnatumiwa sms na raisi na hamsemi 🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…