Kumbe hapa ndipo wanapotuzidia Kenya na Nigeria

Kumbe hapa ndipo wanapotuzidia Kenya na Nigeria

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
IDADI YA VYUO VIKUU KWA NCHI KUSINI MWA SAHARA
1.Nigeria -262
2.Kenya -129
3.Afrika Kusini - 123
4.Ethiopia -73
5.Ghana - 70
6.Uganda - 69
9.Tanzania - 52
Hakuna ubishi kama elimu ni muhimu katika maisha ya watu.

Taifa ni ngumu kujinasua kiuchumi kama haija jipambanunua kielimu.
Hizo takwimu inaonesha jinsi tulivyoachwa mbali kwenye uwekezaji wa elimu hasa vyuo vikuu.
Source:Top 20 African Countries with Highest Number of Universities
 
Dah ungejua yanayoendelea vyuo vikuu vya tanzania usingeandika hii mada.

Anyway,huko vyuo vikuu ndiko panapoua elimu ya nchi hii.
 
Naona tumezidiwa hadi na Somalia,
Ila aiseee vyuo vikuu tunavihitaji sanaa, hususani katika sekta ya Afya,
Just imagine jinsi vijana wenye vigezo vya kwenda MD wanavyokosa nafasi kisa uhaba wa vyuo, au watu wa engineering,

Tunahitaji vyuo vingi zaidi vya science
 
Nimesoma hapa hapa nijeionea yote yanayojiri vyuoni,Ila pia usisahau yale yanayojiri mtaani kwa wale ambao waliishia na elimu ya msingi na Sekondari.

Bado elimu ina nafasi kubwa sana ya kumsaidia Mwananchi kimaisha.
 
Bongo vyuo vichache ivo na vijana wanataka kujiua kisa wamekosa ajira ss yakiwa mavyuo mengi itakuwaje ss
 
Back
Top Bottom