Naona tumezidiwa hadi na Somalia,
Ila aiseee vyuo vikuu tunavihitaji sanaa, hususani katika sekta ya Afya,
Just imagine jinsi vijana wenye vigezo vya kwenda MD wanavyokosa nafasi kisa uhaba wa vyuo, au watu wa engineering,
Tunahitaji vyuo vingi zaidi vya science