tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
mkuu nimekuelewa, hata hzo sehemu za kujitolea bado ni ishu...Mkuu, ulichoambiwa ni sahihi. Kwa kuwa huyo aliekwambia hivyo anajua unataka kuutumia ualimu kama daraja kwenda huko unakokutaka.
Ushauri wangu kwako ni huu: Tafuta mahali uwe hata intern kwa kazi uliyosomea, utaboresha CV yako.
bcom in management sciences.Ongezea PDGE ya education miez mingapi cjui ile unafundishwa foundations za education, teaching methodology then kwish nehi unakua mwalimu.
By the way umesoma Bcom in what?
bcom in management sciences.{materials management}Ongezea PDGE ya education miez mingapi cjui ile unafundishwa foundations za education, teaching methodology then kwish nehi unakua mwalimu.
By the way umesoma Bcom in what?
mara nyingi watu wamekuwa wakishauriwa watafute shule za kufundisha pale kunapokuwa na ugumu wa kupata kazi ya fani waliyoisomea. Mimi nimeamua kufuata huo mkondo lakini ninayokutana nayo kwenye hizi shule yanakatisha tamaa. Wengi wanataka waliosomea ualimu, hapa nimeambiwa ningekuwa nimesoma BeD ningepata..sijui inawezekana vipi Bcom kuwa Bed? Wadau mwenye kuhita mwalimu wa Mathematics/Geography/Economics, tuambizane.
watu mnajidharau alafu mnalalamika mnadharaulika, huku kuhangaika ni suala la muda tu...hata sijutii kusoma Bcom.mkuu tulipokua chuoni ni nyinyi ndo mlikuwa wakwanza kutudharau cc watu BAEd na BEd,ona sasa unavyoangaika kitaa.
mkuu wewe komaa mbuyu haukuota kwa siku moja
poa mkuu umesomeka,ila kwake hofu yake ni kukimbiwa na c vingnevyo.Tukubali tu kutambua maana ya taaluma ama professionalism kwamba si haki accountant akafanye surgery muhimbili...jamani kila kada ina code of ethics n conduct za kwake
Maana yake ni kwamba hata katika appraisal usije kuwa na xcuse ama objection kwamba 'mie sikusomea lakini'hahaaa!tunatakiwa kuwa na universal standards katika kufanya OPRAS yetu,mie nafikiri huyo alikuwa akimaanisha hilo mkuu...hvyo tutafute tu kazi lakn pia tuelewe mapungufu yetu pia kitaaluma
mkuu tulipokua chuoni ni nyinyi ndo mlikuwa wakwanza kutudharau cc watu BAEd na BEd,ona sasa unavyoangaika kitaa.
nani anawadharau kaka,nyie mnjadharau wenyewe bana?
Tafuta kazi uliyosomea nyie ndio mnaoongeza division zero za form four.bcom in management sciences.{materials management}