Kumbe hata kwetu haya yapo?

Kumbe hata kwetu haya yapo?

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
3,988
Reaction score
1,308
Naomba niulize hivi kumbe haya mahusiano hata bongo yapo kihivi???? nimeikuta hapa http://www.fashionjunkii.com/category/Tanzanian+Beauty


413d41258f5cb890_IMG_8345.preview.jpg
 
mhhh....hiyo nayo kali!! Sasa hapo ndo kinatokea nini? Sitaki kuamini kama ni kweli.......
 
mhhh....hiyo nayo kali!! Sasa hapo ndo kinatokea nini? Sitaki kuamini kama ni kweli.......

Hujui kinachoweza kutokea hapo? pumzi kupanda na kuhema juu juu na ni bora usiamini kama ni kweli we potezea tu...........
 
Sitaki kuamini kama haya yapo TZ!
Labda sio hapa Tanzania...Mh Shoshi una uhakika ni watz hao???

Labda ilikuwa Kenya jamani???!! Maana wenzetu wako mbele zaidi yetu kama wanavyodai wenyewe! Mbona makubwa haya!!!?
 
Back
Top Bottom