Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Haya tena makubwa
mhhh....hiyo nayo kali!! Sasa hapo ndo kinatokea nini? Sitaki kuamini kama ni kweli.......
Kuuliza si ujinga USHAMBA!starehe zao wenyewe, umbea tu!:A S 13:
Ni tz hii? Disgusting!
mhhh....hiyo nayo kali!! Sasa hapo ndo kinatokea nini? Sitaki kuamini kama ni kweli.......
Kwanini usiamini wakati unaona mamy, au unafikiri macho yanakudanganya!!!
Ametoka kulala ngoja anawe uso kwanza...............
kumbe huwa wanakula na keki pia??kitchen party!
Kwanini usiamini wakati unaona mamy, au unafikiri macho yanakudanganya!!!
Sitaki kuamini kama haya yapo TZ!
Labda sio hapa Tanzania...Mh Shoshi una uhakika ni watz hao???