kumbe hata simba wanapendaga hii ???

kumbe hata simba wanapendaga hii ???

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
kumbe hata simba huwa wanapendaga hii kitu ???
 

Attachments

  • SIMBA.jpg
    SIMBA.jpg
    22.3 KB · Views: 774
sasa wao ndio balaa kabisa wanapiga wiki nzima
 
jamani kuna watoto....nao tuwape haki yao...tusi-expose mno mambo haya
 
jamani kuna watoto....nao tuwape haki yao...tusi-expose mno mambo haya
Useme tu wewe ndio unaona ibu kuangalia simba anatia, usiwasingizie watoto. mbona picha nyingine kama vile za violence nk. hamzipigii kelele?
Watoto wa leo hii kitu watakufundisha wao. This is nature; hide it but soon or later it will be known. I nkow you were joking.
 
Mzee mzima anakamua!...anakitupa sasa hv, unaona anavyoyjikakamua! teh teh
 
Akifanya mnyama ni okey! tukifanya sisi tunaambiwa ni dhambi, jamani dunia hii
 
Akifanya mnyama ni okey! tukifanya sisi tunaambiwa ni dhambi, jamani dunia hii

Ndo hapo sasa hata you tube mapenzi ya wanyama hayana restriction kuangalia wala sio kosa lakini ya binadamu hahahahhha.
 
Vizuri sana, mwambie huyu, hakuna kitu kibaya kuonyesha picha kame ile, vibaya ni kuto waambia na kuwafundisha watoto wetu, waweze kujichagulia, hakuna matata kuonyesha mapenzi, ya wanyama au binadamu, nivibaya kuonyesha vita na watu wanauliwa. kufanya mapenzi ni muhimu sana, mapenzi yanawaweka watu pamoja.Hey dont laugh at me I tried, it has been over 25 year, since i have spoken or written my lovely swahili :embarrassed: a little!!
 
duh! hiyo ya tembo balaa!! kumbe kwenye hiyo makitu hakuna uzito wala nini, unakuwa mwepesiii!!
 
Back
Top Bottom