Elections 2010 Kumbe hata sisiem wenyewe walijua wameshindwa u mpaka mg wa kampeni alipowambia!!!???

Elections 2010 Kumbe hata sisiem wenyewe walijua wameshindwa u mpaka mg wa kampeni alipowambia!!!???

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Posts
1,232
Reaction score
442
KWELI MWAKA HUU NIMESHUHUDIA MENGI YA KUSTAJAABISHA WANACHAMA WA SISIEM WALIKUWA WAMEJUA KUWA WAMESHINDWA VIBAYA UCHAGUZI HUU NA HIVYO WALIKUWA HAWASHEREKEI KABISA MPAKA MAMBO YALIVYOWEKWA SAWA NA YULE MENEJA WA KAMPENI NDO AKAJITOKEZA KWENYE VYOMBO VYA HABARI AKAWAMBIA WASHEREKEE MAANA WAMESHINDA KWA ASILIMIA 71% TENA ALITANGAZA KABLA TUME HAWAJAMALIZA KUTANGAZA MATOKEO YENEYEWE !!!!?? IMEKAAJE HIII???:thinking:
 
Back
Top Bottom