Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeh! Paka mweusi, amevaa kwa heshima gani? Hebu muangalie vizuri hicho kimini.Anamshangaa anavyotembea nusu uchi.Humuoni yeye alivyovaa kwa heshima?Hapo ni kama anajiuliza na huyu kuku wa kienyeji katoka wapi tena?
... Naamini alikuwa anaangalia kwa nia nzuri tu ya kum-praise almight God for His amazing designs and modelings.
Yeye anashangaa kiuno wakati naye mapaja yote yako njeeeeeeeAnamshangaa anavyotembea nusu uchi.Humuoni yeye alivyovaa kwa heshima?Hapo ni kama anajiuliza na huyu kuku wa kienyeji katoka wapi tena?
Kwani wewe mwenyewe huoni , hicho kitu si cha kawaida !!! Mie tabasamu lake tu, huku kwenye suruali kwa mbele pameshaanza kunyanyuka !!! Tehe tehe tehe !!!!