Kumbe hata wazee wameikataa CCM. Vijana waliopo huko tuwaweke kundi gani?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Nimesikiliza huyu mzee kisha nimejiuliza hawa vijana wanaovishwa mashati ya kijani na kuukataa ukweli tuwaweke kundi gani?

Upungufu wa maarifa au tamaa mbele? Hawayaoni yanayo endelea au kwao ni potelea mbali?

Nimesikiliza huyu mzee kisha nimejiuliza hawa vijana wanao veshwa mashati ya kijani na kuukataa ukweli tuwaweke kundi gani?
Upungufu wa maarifa au tamaa mbele? Hawayaoni yanayo endelea au kwao ni potelea mbali?
a very strong msg... MTU AKITAKA KUFANYA JABO OVU ANAKIMBILIA KWENYE CHAMA.
mfano:
1. Polisi wakitaka kutesa kuua wanasema maagizo toka juu na juu nu CCM
2. RC wa Mbeya kumtea Chaula...anakimbikia CCM
3. Kuuza rasilimali za nchi anakimbilia CCM ilani yake
4. ......... taja mengine
 
Nimesikiliza huyu mzee kisha nimejiuliza hawa vijana wanaovishwa mashati ya kijani na kuukataa ukweli tuwaweke kundi gani?

Upungufu wa maarifa au tamaa mbele? Hawayaoni yanayo endelea au kwao ni potelea mbali?
Ana point, ila ndio kama hivyo hutowona hapa
 
Back
Top Bottom