Nimesikiliza huyu mzee kisha nimejiuliza hawa vijana wanao veshwa mashati ya kijani na kuukataa ukweli tuwaweke kundi gani?
Upungufu wa maarifa au tamaa mbele? Hawayaoni yanayo endelea au kwao ni potelea mbali?
a very strong msg... MTU AKITAKA KUFANYA JABO OVU ANAKIMBILIA KWENYE CHAMA.
mfano:
1. Polisi wakitaka kutesa kuua wanasema maagizo toka juu na juu nu CCM
2. RC wa Mbeya kumtea Chaula...anakimbikia CCM
3. Kuuza rasilimali za nchi anakimbilia CCM ilani yake
4. ......... taja mengine