Kumbe hawara haachiki!!

Kama wako sio mtamu si umfundishe jinsi ya kua na utamu.
Kutoka nje ya ndoa sio busara kabisa.Maradhi ndugu yangu.
 
I agree with domo zege.kama umeshajua unapataje utamu ukiwa na huyo hawara kwa nini usimfundishe huyo wako ukapata raha ile ile au kama vipi halalisha huyo hawara.
Usitengeneze mtandao wa mapenzi, baki na mmoja
 
Kakakiiza hivi wewe unamiaka mingapi lakini?
naona unacheza sana na maisha yako.haya bana
 

I am in a same mess... we endelea kukamua, watajipanga wenyewe, kama abiria ndani ya daladala (daladala haijai)...

Ila plz. bora usahau ufunguo wa gari kuliko kusahau kutembea na condom mfukoni!!!
 
Braza... hivi shem akileta mada kama yako kutakalika kweli hapo skonga?
 
na ukimwi je


Mkuu, Dracula, hebu badilisha hiyo avatar yako kama inawezekana manake inatisha kweli kweli kwa macho ya kawaida, sembuse kwa wamama wajawazito!
 
bora useme ukweli Kaizer, kuliko wengine wanatuongopea tu.ILA mmm ngoja bi mkubwa apite hapa utajuta
 
avatar ya dracula ni komesha toto. network ya mahawara ndo mtandao mathubuti wa kueneza ukimwi!! achana:redfaces: na mahawara
 
mla huliwa pia, hivyo kama unaendelea kula vya wenzio pindi ikifika kwako wala usiulize bali ukae kimyakimya tu maana uliyafnaya pia
 
haya kitamu mawazo yako kila la heri
 
Ukiogopa bahari uwezi kusafiri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…