Kumbe Hayati Rais Magufuli alikuwa Mwamba kweli kweli!! Taifa hili litakukumbuka daima!!!

Kinachokera ni hawa wachumia tumbo badala kuleta suluhisho wao wanamlaumu Magufuli na tuhuma za uongo na kijinga kabisa!
Punguza asira basi maana sasa yupo chini ya mama Samia.

Kuendelea kutomkubali mama Samia hasa kama wewe ni mwana ccm utajitafutia vidonda vya tumbo.
 
Makini sana mwanangu,huu ni ujumbe mahususi kwa taifa
 
Alikuwa mwamba nyumbani kwako ma familia yako
One man's hero is another man's satan
 
Tuchukulue mvua imeonyesha,sasa hapo akina iptl na symbion watarudi kufanya nini Mzee? Unaongea kwa ushabiki kuliko hoja.

Ndio maana huwezi kujadili na Mtanzania hoja kwa hoja kwa free mind kwa sababu mtu anakuwa ana mlengo wake kichwani.

Ndio maana hata kwenye uchaguzi hoja hazijawahi amua muelekeo wa Mtanzania..
 
CCM kama tumeshindwa kuongoza Taifa hili kwa ufanisi TUKUBALI na turuhusu ushindani wa kisiasa ili kupitia ushindani huo wanaweza kupatikani watu wengine wenye maarifa wakaliongoza Taifa hili kwa mafanikio makubwa kuliko haya tuliyo nayo leo !
Ccm ilishindwa kitambo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…