Kumbe Hayati Rais Magufuli alikuwa Mwamba kweli kweli!! Taifa hili litakukumbuka daima!!!

Binafsi nakubali kazi za JPM. Lakin sasa lazima ifike mahali nyie wanazi mumuache mzee wetu apumzike badala ya kutumia jina lake for cheap politics. Cant you move on?

shida inaanzia kwa wale wanaomuonea akiwa amekufa kwa kutaka kumbebesha misalaba baadala ya wao kufanya kazi na kumaliza kero zilizopo mbele yao....sasa hapo ndio lazima atetewe labda nao wamuache apumzike..
 
Lema akili imeanza kurudi KWA Sasa,alishasahau aliyolalamikia awamu ya nne ndo haya yamerudi
 
Kama imepangwa hujuma, hata ungekuwa umeme wa gesi, sababu isingekosekana
 
Penye ukweli na usemwe tu,jpm alijitahidi kwa kiasi chake ila sio huyu wa miezi kadhaa jua limekuwa kali kwa sababu ya ghadhabu ya Muumba,wamachinga wanalia kila kona!dah!shenzi kabisa



 

Attachments

  • VID-20211120-WA0077.mp4
    5.3 MB
Mosi ni Matengenezo (Maintenance) na pili Ukame!
Hapo kwenye ukame mi najiuliza mara mbili mbili, hivi tuna mabwawa au madimbwi? Yani mvua ikichelwa miezi miwili tu bwawa limeshakauka na kusitisha uzalishaji?
Kama msimu wa mvua uliopita tulikuwa na mvua nyingi tena za kuzidi, imekuwaje mabwawa yetu yakauke within a year? Hayo mabwawa yetu ni sustainable kiasi gani kama yanakauka mvua inapochelewa kwa miezi miwili?
Tanesco na January wanatuzuga kwa kuandaa mazingira ya kuingia kwenye mikataba ya wizi tu.
 
Leta uzi wa katiba sasa
 
HOPLESS COMMENT ....UHARIBIFU WALIOUFANYA AWAM HIYO NDIO UNATUTESA HAD KESHO
 
Mbona wakati wa magu umeme ilikuwa fulllll no mgawo,mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
TATIZO N MADEN ALIOKOPA TACC TA KIBIASHARA ..ANA KUTUACHIA HASARA KUBWA..NA BADO TUTATUMIKIA MADHIRA MENG YALIYOSABABISHWA NA AWAM HIYO
 
shida inaanzia kwa wale wanaomuonea akiwa amekufa kwa kutaka kumbebesha misalaba baadala ya wao kufanya kazi na kumaliza kero zilizopo mbele yao....sasa hapo ndio lazima atetewe labda nao wamuache apumzike..
Yaani hata atetewe vip he is gone. And bad news ni kwamba dead man dont tell tales
 
TATIZO N MADEN ALIOKOPA TACC TA KIBIASHARA ..ANA KUTUACHIA HASARA KUBWA..NA BADO TUTATUMIKIA MADHIRA MENG YALIYOSABABISHWA NA AWAM HIYO
Hivi kwani kuna raisi ambaye aliwahi kuiongoza hii nchi na hakuwahi kukopa?
 
Kamfufue basi!
Corona ishafanya yake mapema sanaaaaaaa. Imebaki story kutoka kwa malamba miguu yake
 
Wacha wafanye wanavyotaka sisi watanzania tunamwachia Mungu Muumba mbingu na nchi najua anaona kila kitu, haya yote yataisha kama si leo kesho ufumbuzi utapatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…