Kumbe Hayati Rais Magufuli alikuwa Mwamba kweli kweli!! Taifa hili litakukumbuka daima!!!

Wacha wafanye wanavyotaka sisi watanzania tunamwachia Mungu Muumba mbingu na nchi najua anaona kila kitu, haya yote yataisha kama si leo kesho ufumbuzi utapatikana.
Ndio maana mkaitwa wanyonge. Mnafikiri ni sifa nzuri?
Kutwa kucha kulalamika, vitendo 0.
 
Mwamba wa nini? Kafanya nini huyo muuaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…