Kumbe hii Teknolojia ya kupata mwangaza bado inatumika hata kwenye majiji kama Dar es Salaam

Kumbe hii Teknolojia ya kupata mwangaza bado inatumika hata kwenye majiji kama Dar es Salaam

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau Wa Jamii Forum, Nimeamini Tanzania Ya Viwanda Inawezekana!

Nimekuta wadau wakijaribu kupata mwanga kwa kutumia teknolojia ya Zamani kidogo!

Wahenga mtuhabarishe

1.jpg
 
Utoto tu huo wakikua wanakuja kukutana na akia Amber nani sijui madude yote hayo yanapotea acha kabisa dunia kiboko..😂
 
Ukiwa mtoto lazima upitie hiyo
Kwa kifupi michezo ya kitoto

Ova
 
Back
Top Bottom