U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Dec 19, 2020 #1 Wadau Wa Jamii Forum, Nimeamini Tanzania Ya Viwanda Inawezekana! Nimekuta wadau wakijaribu kupata mwanga kwa kutumia teknolojia ya Zamani kidogo! Wahenga mtuhabarishe
Wadau Wa Jamii Forum, Nimeamini Tanzania Ya Viwanda Inawezekana! Nimekuta wadau wakijaribu kupata mwanga kwa kutumia teknolojia ya Zamani kidogo! Wahenga mtuhabarishe
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Dec 19, 2020 #2 Utoto tu huo wakikua wanakuja kukutana na akia Amber nani sijui madude yote hayo yanapotea acha kabisa dunia kiboko..😂
Utoto tu huo wakikua wanakuja kukutana na akia Amber nani sijui madude yote hayo yanapotea acha kabisa dunia kiboko..😂
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Dec 19, 2020 #3 Ukiwa mtoto lazima upitie hiyo Kwa kifupi michezo ya kitoto Ova
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 142,674 Reaction score 743,909 Dec 19, 2020 #4 Watoto wa Dar wanafanya utafiti[emoji23]
Mnyatiaji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 3,728 Reaction score 4,817 Dec 19, 2020 #5 Wakikua wataacha
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 20, 2020 #6 Wanajaribu kupata mwanga kwenye mwangaza... Cc: mahondaw
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Dec 20, 2020 #7 Uzalendo Wa Kitanzania said: Wadau Wa Jamii Forum, Nimeamini Tanzania Ya Viwanda Inawezekana! Nimekuta wadau wakijaribu kupata mwanga kwa kutumia teknolojia ya Zamani kidogo! Wahenga mtuhabarishe View attachment 1654497 Click to expand... Dah yupo kwenye practical yake huyo ni electrical engineer
Uzalendo Wa Kitanzania said: Wadau Wa Jamii Forum, Nimeamini Tanzania Ya Viwanda Inawezekana! Nimekuta wadau wakijaribu kupata mwanga kwa kutumia teknolojia ya Zamani kidogo! Wahenga mtuhabarishe View attachment 1654497 Click to expand... Dah yupo kwenye practical yake huyo ni electrical engineer