Kumbe hospitali ya kwanza nchini ilijengwa Tabora!

Kumbe hospitali ya kwanza nchini ilijengwa Tabora!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Najaribu kupost picha yake lakini naona pana tatizo. Naambiwa pesa ya kwanza hapa nchini ilitengenezwa Tabora na pia hospitali ya mwanzo nchini ilijengwa Tabora hivo kumbe Tabora ina historia nzuri sana kama tutaamua kufanya hivo.
 
Ndio ni kweli ila viongozi tunao wapa nafasi watuongoze awana maana na wala ma penzi ya kuipenda tbr awana
 
Najaribu kupost picha yake lakini naona pana tatizo. Naambiwa pesa ya kwanza hapa nchini ilitengenezwa Tabora na pia hospitali ya mwanzo nchini ilijengwa Tabora hivo kumbe Tabora ina historia nzuri sana kama tutaamua kufanya hivo.
Na kaburi la mwanzo la maiti kutoka mortuary nilianzia Tabora
Na mtoto wa mwanzo kuzaliwa Hospitali pia alitokea Tabora
 
hospital za kwanza ni Bagamoyo, Kilema moshi, na kilwa
Namshukuru Mungu nimefanikiwa kupost picha ya hospitali hii. Sidhani kama hizo zilikuwa kubwa kama hii. Ukifika Tabora ipo maeneo ya VETA kama unaelekea mkoani upande wa kulia. IMAG0102 (2).JPG IMAG0101 (2).JPG
 
Back
Top Bottom