Kumbe humu JF wako mapedeshee

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
40,905
Reaction score
86,203
huu wimbo cjui umetoka lini..ila nimeusikia jana usiku

wapi pedesheee Rejao a.k.a handsome boi...

wapi papaa Mwita25 muzee wa kiingereza

wapi mama Faiza Foxy ...

wapi mopao...MTM mutoto wa mjini..

mistari mingine imenitoka
 
Wastage_'my time kweli kweli kufungua hii thread na kuisoma...........utumbo mtupu period!
Sijui unamaana gani?JF Umeiona mziki wa bolingo kutaja taja majina ya watu?
 
Mbona tupo wengi tu! Hao wakutajwajtajwa sio wa ukweli. Sio tupo kimya ila tunafanya mambo makubwa!
 
Nikutaja majina mpaka wimbo unaisha hakuna hata sms moja
 
?fj umuh anawb atufatanu ua inin ite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…