Mzuka wanajamvi!
Nilikuwaga nausikiaga kwenye redio sana kipindi cha nyuma. Muda wote huo mimi nilidhani unaitwa 'wuu-huu' kumbe unaitwa walk of life umeimbwa na kundi flani Dire Straight. Nimeshtukizia tu nauona youtube usiku huu. Radio one walikuwaga wanauchezaga sana.