Kumbe huyu dada ana sura ya tofauti hivi! Sitoamini tena picha za Mitandaoni

Status
Not open for further replies.
Nimemkula sana kwa macho huyu, toka badoo hadi whatsapp
 
Anaitwa Pretty Kind..kapigwa BAN ya miezi sita kushiriki muziki na sanaa na Mh. naibu waziri wa Sanaa /michezo
Mkuu mbona kama wizara imekengeuka au kuna regulation mpya zinaipa wizara mamlaka kwan hapa wapo ultra vias au mie ndio celewi
 
All in all,anaonekana anatakiwa kuwekwa ndani huyu,ni wife material i can see it,huyu sio kama kina giggy bt anataka tu kujitia wehu
 
Mkuu mbona kama wizara imekengeuka au kuna regulation mpya zinaipa wizara mamlaka kwan hapa wapo ultra vias au mie ndio celewi
Naona wanafuata agizo la mkuu wa nchi alikemea sana haya mambo ya nusu utupu
 
Jamani mbona me sion sugum wa sura yake?si kila mahali mtu mtamkuta na urembo uson.muda mwingine anajiachia
 
Kipindi hiki uzuri wa mwanamke unategemea zaidi ni aina gani ya simu anayoitumia.
Siyo aina ya simu ni aina ya app. kuna macamera yao wanadownload na kuna maphoto editor humo balaa, hata kama hauna miwani inakuvalisha miwani.

kuna moja inaitwa Ace camera ina manjonjo balalaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…