Kumbe huyu jamaa suala la kudaiwa vyeti halikuwa bahati mbaya

Kumbe huyu jamaa suala la kudaiwa vyeti halikuwa bahati mbaya

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Sijui lile sakata la kumdai vyeti tulianzishe upyaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri kweli????

Hilo neno "nasbili" ni kithibitisho tosha cha ukomo wa elimu yake .

Hapo ilibidi aandike "ninasubiri" na sio hiyo "nasbili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
20181129_154935.jpeg
 
Team Mond c kwa wivu huo asee,angempost chibu,haya yote 2cngeyackia....at least kutoka kwako.
 
Sijui lile sakata la kumdai vyeti tulianzishe upyaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri kweli????

Hilo neno "nasbili" ni kithibitisho tosha cha ukomo wa elimu yake .

Hapo ilibidi aandike "ninasubiri" na sio hiyo "nasbili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 950417
Nimewaza akiimba "Ntasubiri "ya Jux[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Write your reply...
rire rijamaa ni rikiraza ra ukweri kabisa, sema kwa kuwa rina undugu na nanihii, ndo maana rinajidai..
 
Typing error tu hiyo! Sema umeamua kuibebea bango.
 
Hiyo sio typing error .

Hajui tu kuandika.

Pia ni makosa makubwa kuanza kuandika neno kwa kutumia njeo badala ya kuanza na nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.

Vilevile hajui kutofautisha matumizi ya "R" na "L".
Hiyo ya R na L hata polisi mkuu naye anatatizo ila hata Tz1 anashida kwenye matamshi "tutamngangania" kweri kweri.
 
Huyo sio Makonda bali kuna dogo pale ofisin kwake alikuwa anachezea simu yake.

Makonda oyeèèe kwa sauti ya cocochanel
 
Typing error inawezakua ni kipimo cha akili au elimu ya mtu?
 
Hilo si kosa kubwa hadi ukafikia kulifungulia uzi, hebu mengine yatupite tu haitokuwa na madhara kwetu
 
Hizi simu kila kitu hujaribu kutafasiri kiingereza,huwa yanaletwa maneno usiyotarajia na kukosa maana.
 
Back
Top Bottom