Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hiyo sio typing error .Hiyo inaitwa typing error wala siyo vyeti au kufika chuo kikuu
Nimewaza akiimba "Ntasubiri "ya Jux[emoji23][emoji23][emoji23]Sijui lile sakata la kumdai vyeti tulianzishe upyaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri kweli????
Hilo neno "nasbili" ni kithibitisho tosha cha ukomo wa elimu yake .
Hapo ilibidi aandike "ninasubiri" na sio hiyo "nasbili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 950417
Baeleze...!Baeleze,sio kila kitu Mjadala.Uzi huu haukustahili kuanzishwa..!hata sijui kwa nini nimechangia..?Hiyo inaitwa typing error wala siyo vyeti au kufika chuo kikuu
Hata kama sitaki kuchangia, lakini NASUBIRI kuiandika NASBILI iwe typing error!!? Maskini!Wewe jamaa mshamba sana wewe hujawahi kukosea hyo Ni typing errors Mzee
Sio typing Ni kwamba hajui,hizo herufi zipo mbali sana kwenye keyboardWewe jamaa mshamba sana wewe hujawahi kukosea hyo Ni typing errors Mzee
Je! na wewe tukudai vyeti?Vilivile
Hiyo ya R na L hata polisi mkuu naye anatatizo ila hata Tz1 anashida kwenye matamshi "tutamngangania" kweri kweri.Hiyo sio typing error .
Hajui tu kuandika.
Pia ni makosa makubwa kuanza kuandika neno kwa kutumia njeo badala ya kuanza na nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.
Vilevile hajui kutofautisha matumizi ya "R" na "L".
Bora huyo kwenye matamshi kuliko bashite kwenye maandishiHiyo ya R na L hata polisi mkuu naye anatatizo ila hata Tz1 anashida kwenye matamshi "tutamngangania" kweri kweri.