Kumbe huyu Katy Perry hatari!!

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
Nlikuwa namsikia tu sasa wakati na surf tweeter nikakutana na page yake na kuona ana follower kama 80 Million nlishtuka kidogo nlipoingia google nikampekua nikakuta ni mwanamziki basi nikaamua ku download nyimbo zake na ndipo nikakutana na albam yake ya Prism aisee hatari sana huyu dada anajua kuimba.

Ndomana wanasema usichokijua ni usiku wa giza.
 
Kuna nyimbo flani hivi anazingua na mshkaji wake ....

Afu anamua kuachana nae anaenda jeshini ....

Bonge la song!
 


Pole kwa mstuko mkuu
 

Attachments

  • 1452641178092.jpg
    43.6 KB · Views: 37

typing.....
 

Attachments

  • 1452641417141.jpg
    43.6 KB · Views: 45
  • 1452641721804.jpg
    40.1 KB · Views: 41
Sasa mwingine anazungumzia twitter followers, mwingine analeta followers wa instagram... yani vululu vululu ndio maana mimi nakosa usingizi
 
Ungekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa za Marekani, hasa za chama cha Democratic wala usingestushwa na ukali wa Katy Perry!. Amekuwa mhamasishaji mkubwa wa kampeni za Raisi Obama!.
 
Kate perry ni zaidi ya rihanna na beyonce sema dr luke anambeba sana

Kate Perry anajua lakini kusema zaidi ya Beyounce ni kumvunjia heshima Queen Bey. Sijui umetumia vigezo gani mpaka umefikia uamuzi wako. Kila mtu na mtazamo wake lakini ukweli utabaki palepale vocal, perfomance, money, fame etc sio Kate Perry tu wengi watasubiri Sana kwa Queen Bey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…