Kumbe huyu mama kamuharibu Chibu

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Nadhani kwa picha hii kila mmoja atakubaliana na mimi chanzo cha lipsi denda za Dangote na Prince wake[emoji1] [emoji1] ni huyu bi mdashi
 
[emoji16].... [emoji95].... [emoji379]
Kendra michael.

Ghaaaadamm this sugar mummy just doing shit... !! In Town.
 
Huyu mama nataka nimkoment ila naogopa ntatenda dhambi...

Heshima nnayompa Chibu ni kubwa.
 
Mama WA mwenzwnu pia haipendez,je mama ako angekuwa anaziakiwa hiv ungefurah
Uko kijiji gani? Mama anayejiheshimu hawezi kuweka mambo yake kwenye social media hana lolote huyu bi mkubwa though ni maisha yake binafsi but kwa kuwa ameamua kujifanya mtu wa mitandaoni wacha na sisi wa mitandaoni tumpandie...
 
Wanaume wa dar sasa mjadala umehamia kwenye familia ya diamond kazi ipo
 
huyu mama nadhani pesa na umaarufu wa mwanae vimemuharibu.
 
Mama mtu mzma nyororo la nini shingoni.......mwishoe likunyonge bure.
 
zali kawabana sana uswahili unawaisha walibip kwa hamisa kawapigia saiv wameufyata wamerud kwa zali mbio.
 
Mwenye number za huyu mama tafadhani, naona kuna kijibaridi flani hapa down town.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…