Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ana username ya Obama wa Bongo ....ni katika pitapita yangu ndani ya JF nilipokutana na avatar ya kushangaza kidogo ni logo mbili za Honda na Nissan zimetengenezewa animation (motion picture) Honda 'akimfanya' Nissan
Nikajiuliza kulikoni mpaka mtu atumie avatar kama hii? katika kufukunyua kwangu....lahaullah....!!! Namkuta Obama wa Bongo ni female
Nikajiuliza kulikoni mpaka mtu atumie avatar kama hii? katika kufukunyua kwangu....lahaullah....!!! Namkuta Obama wa Bongo ni female
Last edited by a moderator: