Hater with PhdNatazamaga mwewe tu halafu nabadili channel...
Huyu jamaa ni mbunifu
Iyo mwewe inawekwa muda gani? Na sisi tuangalie?Natazamaga mwewe tu halafu nabadili channel...
Huyu jamaa ni mbunifu
View attachment 343893 View attachment 343894
Kwenye taarifa ya Habari Clouds Tv huwa kuna segment ya mtu anajiita "Mwewe",huyu kazi yake ni kuibua kero na mambo mbalimbali katika jamii na kuyarusha kwa kichagizo na sauti ya umaridadi
Mbwembwe zote zile za "Jamani mwewe anaulizaaaa huu ni uungwana?".Huyu mwewe amesaidia kero nyingi ndani ya Dar kupatiwa ufumbuzi
wakati wa taarifa ya habari saa moja na nusuIyo mwewe inawekwa muda gani? Na sisi tuangalie?