Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

Mshana kwa stori hii sidhani kama umeoa tena.. na kama umeoa tena basi kuna furaha unakosa, tukio ulilofanya limekufunga kiroho una wake wawili ila mmoja kashatangulia kwa mujibu wa stori yako...
 
Mshana kwa stori hii sidhani kama umeoa tena.. na kama umeoa tena basi kuna furaha unakosa, tukio ulilofanya limekufunga kiroho una wake wawili ila mmoja kashatangulia kwa mujibu wa stori yako...
Nina familia mkuu
 
Kwahiyo ulikula kuku na mayai yake😀
 
Sasa na id yenye picha, si unamdhalilisha mama mkwe? Yaani umemvua chupi?
 
Sasa na id yenye picha, si unamdhalilisha mama mkwe? Yaani umemvua chupi?
Sorry kwa watakaokwazika na hii simulizi, maana najulikana na wengi.. Nilifunga ndoa ya Kimila mkoani, na baada ya harusi tukarudi Dar Temeke kwa Aziz Ally mtaa wa uwanja wa Sifa bythen, na mama mkwe alitufuata mwezi mmoja baadae kuja kutusalimia
 
Ila story umejichanganya mwanzo umesema wewe na mkewe hamkuwa na watoto then ukajihudumia chakula cha usiku watoto wakiwa wamelala? umechanganya madude!
 
Ila story umejichanganya mwanzo umesema wewe na mkewe hamkuwa na watoto then ukajihudumia chakula cha usiku watoto wakiwa wamelala? umechanganya madude!
Hiyo ni general term hutumika kama kiambishi wakati wa kuelezea hayo matukio
 
Ndio.. Na mama mkwe ana mtoto wa kiume wa uzeeni! Baba mkwe anasema wamejitahidi sana kutafuta mrithi lakini hawakufanikiwa mpaka huyo wa baada ya harusi! Harusi ilikuja na baraka
So ile pombe ilitoa matunda?
Nina wasiwasi mkweo alikuja kimkakati wa mganga[emoji1787]
 
So ile pombe ilitoa matunda?
Nina wasiwasi mkweo alikuja kimkakati wa mganga[emoji1787]
Thread 'Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora' Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Lutu na mabinti zake hawakugeuka nyuma na wakaenda kuishi mlimani mpaka Lutu alipokuwa mzee kabisa!
Mabinti zake wakajiongeza wakaona baba anazeeka mama hayupo na sisi ni mabinti! Tusipofanya namna kizazi kitapotea

Makatengeneza mvinyo mkali wakampa mzee akanywa akalewa, wakampa unyumba baba yao....wakashika ujauzito na kizazi kikaendelea(hakuna ubaya hapa!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…