Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

🙌🙌🙌🙌 Mlozi hii kali kuliko
 
Ndio.. Na mama mkwe ana mtoto wa kiume wa uzeeni! Baba mkwe anasema wamejitahidi sana kutafuta mrithi lakini hawakufanikiwa mpaka huyo wa baada ya harusi! Harusi ilikuja na baraka
Atakuwa mtoto wa Mshana, kampiga mimba mama mkwe. Mshana, Mshana! Kaungame kwa paroko kwa shekhe. Sijui imani yako kidini.

Umetisha.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Ni mazuri kwa kuyasikia kwa mwingine ila usiombe yakukte. Hiyo kitu inatesa ndani kwa ndani alafu huwezi simulia mtu😢😢
 
Hamna part two bro[emoji848]
....wife alikuja kujua? Like mama mkwe mlifanikiwa kuonana baada ya hapo, mliongelea kilichotokea? Doooh poleee mkuuu...
 
Kuna jamaa alikua anakojoa kwenye maua ya mama wa watu ghorofani akifikiri michongomani😁,
Mzaha mzaha tunamkataza siku tunapiga monde tena katuaga anaenda home tumeagana khe tunapiga fegi balcony huyu hapa kapanda fensi atimue.
Tusingemdaka shati sa hii tungekua tunaongea mengine
 
Ndio tumeelewa sasa, mama mkwe kuna kitu alikuja kubeba ndo maana baada ya kazi aliondoka
Je alioga au aliondoka nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…