Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

japo ni stori lakini ni ya uongo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama mkwe nae alikumbuka miuno aliokata jana akaona haya bora asepe.
 
Yaani nimecheka mno hii story kuna siku nilikuta missed call nikiwa vyombo sikujua maza mkwe nikampigia nikampa mistari ya maana kesho yake nilishtukia ishu kupitia wife kwamba maza wake anasema baba Fulani kumbe muongeaji sana nikakumbuka aibu mambo magumu niliyomwambia siku hizi ananiita mtani wake
 
siku nilikuta missed call nikiwa vyombo sikujua maza mkwe nikampigia nikampa mistari ya maana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh aiseee.......hata harufu ya mkeo ulikuwa huijui ? Mkeo ndiyo alikosea, mama mkwe analalaje kitandani Kwa mkwe wake,tamaduni tunatofautiana ila kwetu ni mwiko kabisa

Haruku ya K za vijijin hujulikana
 
Na si vizuri kulewa na mkwe hasa nyakati za usiku

Familia za kibongo bongo ni kawaida watu hugongana sana
Wakwe
Mafiwi
Sheneji

Kama unatabia za kuwatoa out for pombe….. utawala wote bila kuwatokea

Laana kwenye nchi ya TZ inaanzia mbali hadi kufikaCCM Na chadema
 
Familia za kibongo bongo ni kawaida watu hugongana sana
Wakwe
Mafiwi
Sheneji

Kama unatabia za kuwatoa out for pombe….. utawala wote bila kuwatokea

Laana kwenye nchi ya TZ inaanzia mbali hadi kufikaCCM Na chadema
Laana kwenye nchi ya TZ inaanzia mbali hadi kufikaCCM Na chadema[emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Unajua vema kisa cha Lutu? Sisi sote ni ndugu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Naiona hii leo. Ila mama mkwe kainjoi kisha kaona soo na kuaga kiaina. Sasa tupe nyingine. Vipi, si mlishaenda ukweni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…