Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

Ha ha ha[emoji1787]
 

"Nilimpoteza mke wangu wa kwanza 2002.." POLE.SANA KWA KUMPOTEZA SHEMEJI. Yalinitokea mzazi mwenzangu 2006.

Hayo mengine umeeleweka vema maana ni kweli mavi ya kale hayanuki. Ulikula yai na kuku mwenyewe! Ila sijajua kama Mama Mkwe alikuja kujitambua kuwa aliingiliwa au aliota ndoto kutokana na idadi ya zile chupa za kilevi.
 
Mama na mwanae walikosea sio adabu kuingia chumba anacholala mkwe achilia mbali kulala kabisa kitandani
Ni kweli walifanya makosa makubwa. Pengine shemeji yetu ingefaa zaidi kama angerudi baa kukubaliana na mumewe kwa kumlaza Mama yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…