Kumbe ilipendekezwa Wagombea wa Uenyekiti wa AUC wangeshindwa kufikishwa Kura 33 basi Mzee Kikwete aongoze Kamisheni hiyo!

Kumbe ilipendekezwa Wagombea wa Uenyekiti wa AUC wangeshindwa kufikishwa Kura 33 basi Mzee Kikwete aongoze Kamisheni hiyo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna Mijadala unaendelea hapa Citizen TV kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti wa AUC

Mtaalam mmoja anasema ilishapendekezwa Dr Kikwete wa Tanzania aongoze kamisheni hiyo endapo wagombea wangeshindwa kupata Kura 33

Na Hii ingewezekana kama Raila angekomaa

Mjadala unaendelea 😀

Kikwete Oyeee
 
Hivi hiyo Taasisi ya African Union (AU) ina faida gani hasa kwa Wananchi wa kawaida waliopo katika nchi za Afrika?
Mbona Mimi binafsi sijawahi kuona jambo lolote lile la maana ambalo limewahi kufanywa na Taasisi hiyo zaidi ya kuwaona wazee Madikteta Mafisadi na waliopora chaguzi katika nchi zao au ambao wamebadilisha Katiba za nchi zao kwa njia haramu wakiwa wamekusanyana kule Addis Ababa Ethiopia? Lipi hasa zaidi la maana kutoka kwa Taasisi hii?
 
Kikwete hoooyeeee.....

Afrika nzima INAMTAMBUA.....halafu BAVICHA mmoja anamzodoa khaaaaaa
 
Back
Top Bottom